kwani commission haikatwi?Nadhani anayekatwa auto ni yule aliyefanya muamala wewe kodi yako bado maana hiyo nayo ni biashara
Ukifanya muamala inayokatwa automatically ni VAT ambayo umelipa wewe mteja sio mwenye biashara ya tigo pesa.Ukifanya miamala, automatically unakatwa kodi, sasa hii ikoje tena wanafata kodi manually wakati kodi inakatwa juu kwa juu?
Mwenye uelewa tafadhali.
Nadhani anayekatwa auto ni yule aliyefanya muamala wewe kodi yako bado maana hiyo nayo ni biashara
Sio kweli,wakala wa mpesa,tigo pesa.airtel money nk anakatwa kodi kila mwisho wa mwezi anapolipwa commission yake.
Commission ya wakala inakatwa kodi hivyo kudaiwa kodi nyingine na TRA huo ni wizi na uonevu.kodi inalipwa kutokana na faida yako sasa faida yako ni commission ambayo unakatwa kodi,kwann udaiwe tena na TRA!?
Ukirejea majibu yangu juu kuna swala la mteja na kamisheni kwa mwenye kibanda
Inakatwa asilimia kumi ya kamishenikwani commission haikatwi?
Inakatwa asilimia kumi ya kamisheni
Biashara yoyote kama ina annual turnover ya tzs 100m inatakiwa ikate VAT.Na bar je zinalipa VAT?
sababu beer nazo zinakatwa moja kwa moja
Income inatakiwa ikatwe kodi whether u call it commission or salary.Rejea Makato ya kamisheni
Kama kamisheni zao zinakatwa kodi kwa nini wafuatwe mitaani?Sio kweli,wakala wa mpesa,tigo pesa.airtel money nk anakatwa kodi kila mwisho wa mwezi anapolipwa commission yake.
Commission ya wakala inakatwa kodi hivyo kudaiwa kodi nyingine na TRA huo ni wizi na uonevu.kodi inalipwa kutokana na faida yako sasa faida yako ni commission ambayo unakatwa kodi,kwann udaiwe tena na TRA!?