Lowasa njoo na huku kwetu utugawie hela
Idadi ya wabunge wanayoihitaji UKAWA ili kuunda kuunda baraza la mawaziri ni 133 tu. Jumla ya wabunge wote wa JMT baada ya uchaguzi watakuwa 265, hivyo 133 ni zaidi ya nusu ya wabunge wote. Kwa hiyo UKAWA watakuwa na wabunge wengi kuliko ccm hivyo kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi muhimu bungeni.
Jaribu kuwa realistic mkuu.Ushndi mwaka huu utatenganishwa na tofauti ya 1-5 % ya kura.Na bado survey inamweka mbele mgombea wa CCM(forget Magufuri)
Naona sasa mnaanda watu ki-saikolojia, kwa habari ya uraisi...............
Ila kwenye ubunge na udiwani mnataka mchezeshe zengwe!!!...
Hilo...halitakubalika ng'oooo
tunaangusha mti na mizizi tunang'oa.
Halitaachwa jiwe juu ya jiwe ambalo litasalia
Bavicha mwaka huu kufikia octoba mtaota sana ila ukiwa kwenda Ikulu ni sawa na sisimizi kummeza ngamia. Haitakaa itokee.
wabunge watakaoshinda ukawa wanatosha kabsa kuunda baraza la mawaziri mpaka chenji inabaki hlo ondoa hofu, kwa upande wa halmashauli zetu kwakua madiwani wa ccm weng n mambulula na sisi damu changa tuna elimu ya juu na tunagombea udiwani kupitia ukawa, basi tutatumia elimu yetu kuwaburuza mpaka wafate matakwa ya mh. lowassa, diwani atakayesumbua tunakwenda kuweka kambi katani kwake kushawishi wananch wampindue ambapo tukirudia uchaguz n dhahiri UKAWA watashinda, n mwendo huohuo mpk kieleweke