Inakuwaje mtu akifa?!

Inakuwaje mtu akifa?!

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Siku Baada ya Kifo:

Siku ya 3: Kucha huanza kudondoka.
Siku ya 4: Nywele huanza kuoza.
Siku ya 5: Ubongo huyeyuka kwa kasi.
Siku ya 6: Tumbo huchuruzika kutoka mdomoni na sehemu za siri.
Siku ya 60: Nyama hutengana na mifupa na kuwa tindikali.
Hata wanyama hawatataka kusimama karibu na kaburi kwa sababu ya harufu isiyovumilika ya maiti iliyooza.

Majivuno Mengi!
Uchoyo Mwingi!
Hasira Nyingi!
Uovu Mwingi!
Kwa nini?

Pesa zako ziko wapi?

Uwezo wako uko wapi?

Kiburi chako kiko wapi?

Urembo wako uko wapi?

Uvutiaji wako uko wapi?

Upako wako uko wapi?

Majumba yako yako wapi?

PhD yako iko wapi?

Nguvu zako za kisiasa ziko wapi?

Nguvu zako za kijeshi ziko wapi?

Jaji Mkuu wako yuko wapi?

Kipaji chako kiko wapi?

“Unajua mimi ni nani?” kiko wapi?

“Nitatumia pesa zangu kukuharibu” kiko wapi?

Kiburi chako kiko wapi?

“Bila mimi hakuna wa kufanya hiyo kazi,” kiko wapi?

“Bila mimi hutakula,” iko wapi?

Magari yako, yako wapi?

Jiulize Maswali Haya:
Utakuwa wapi miaka 80 ijayo?

Furahia maisha yako, lakini weka mipaka na uwe mnyenyekevu kila wakati.
Kwa sababu siku moja, hakutakuwa na njia ya kurudi tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom