Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,145
- 79,283
Wajameni hebu niambieni huyu Prof. huwa anashinda vp ubunge maana katika watu ambao huboronga yeye huongoza na zaidi ya hapo hupataje uwaziri au ndo ule undugu na Mkulu! nchi hii uniudhi kha!
Mugo"The Great";1005824 said:Ni kweli Prof. Kapuya anaboronga kwenye posts alizopewa. Na siyo yeye tu anayeboronga aliyempa Madaraka hayo (JK) na Chama Chake (SiSieM)wote wanaboronga, lakini kwa ubunge wananchi wa Jimbo lake la Urambo Magharibi na hata wale wa Urambo Mashariki wanamfagilia sana. Actually wanasema amesaidia sana majimbo yote mawili kuliko Mzee Six. Niliwahi kuongea na watu wa kule last year, wakawa wanasema wana mpango wa kutomuwekea mpinzani si kutoka Chama Tawala au upinzani. Ila kwa Six mambo yamepamba moto, upinzani si wa kawaida.
Hivyo usishangae kusikia kuwa Kapuya "apita bila Kupingwa"