Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Iv inakuwaje mtu anaandika barua za maombi ya kazi zaid ya 50 lkn haitwi hata interview 1, watu huwa wanakosea wapi? Ma HR naomba mnisaidie kujua hili suala. Nawasilisha
Zifuatazo zinaweza zikawa sababu;
1. Gpa ndogo,ufaulu mdogo kwenye vyeti vyako vingine kama vya olevel-a level
2. Uandish mbovu wa barua na cv, vitu kama grammar errors,cv unakuta haipo updated n.k,ni vitu vidogo sana lakini inaonyesha jinsi gani usivyo smart
3. Kutokufuata maelekezo ya jinsi ya kuaply,kwa mfano unakuta umeambiwa tuma cv tu,mtu anatuma hadi vyeti, sa nyingine unakuta ujaandika nafasi ya kazi unayoomba(kama unaaply utumishi),kazi ukiyoomba ujakidhi vigezo n.k
4.Roho ya kukataliwa,hii iko kiimani zaidi ila unaweza kuwa na mchango mkubwa kuliko hizo hapo juu nlizozitaja,jaribu kutafuta watumishi wa Mungu kabla hujaaply(NB kama unamtegemea Mungu lazima uwe tayari kumtii/ kuacha dhambi)
Asante mkuu, vp kuhusu GPA ni kuanzia ngapi inaweza ikawa poa kufikiriwa na waajiri.
At least upper second 3.5 na zaidi.
Asante mkuu, km ndo hivyo tutasota sana cc wenye lower.
Hapana haiko ivo, we endelea kumuomba Mungu tu, Mungu akiwa kati kati gpa si chochote,all the best!
Usiogope kuhusu gpa yako mdau. Mara nyingi recruitors wengi hawana haja na ufaulu wako ila ujuzi ulionao. Update tena cv yako. Weka na uzoefu hata kama si kweli halafu sikilizia.