K keke Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 106 Reaction score 14 Nov 25, 2011 #1 Inakuwaje mpenzi wako / mume au mke anapo kuita jina ambalo siyo lako?? tena ni mara kwa mara?
M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,633 Reaction score 156 Nov 25, 2011 #2 kama lipi?mahali gani na wakati gani?
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 Nov 25, 2011 #3 1.akilini mwake kuna kuna hilo jina,analiwaza kila mara,anampenda sana huyo mtu. 2.pole,kwa kifupi andika umeumia.
1.akilini mwake kuna kuna hilo jina,analiwaza kila mara,anampenda sana huyo mtu. 2.pole,kwa kifupi andika umeumia.
K keke Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 106 Reaction score 14 Nov 25, 2011 Thread starter #4 hakuiti jina lako halisi, kama unaitwa Juma basi atakuita Hamisi...... wakati wa maongezi ya kawaida, inakua kama anajisahau hivi.
hakuiti jina lako halisi, kama unaitwa Juma basi atakuita Hamisi...... wakati wa maongezi ya kawaida, inakua kama anajisahau hivi.
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Nov 25, 2011 #5 Anakuwa hajui kutofautisha kati ya juma na hamis kwa ufupi anayachanganya(labda ni watu wake wa karib sn mfan kazn kwenye biashara n.k)
Anakuwa hajui kutofautisha kati ya juma na hamis kwa ufupi anayachanganya(labda ni watu wake wa karib sn mfan kazn kwenye biashara n.k)
K kisesa Member Joined Apr 30, 2011 Posts 88 Reaction score 12 Nov 26, 2011 #6 kwani hilo jina ukimuliza ni nani kwake?
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Nov 26, 2011 #7 kisesa said: kwani hilo jina ukimuliza ni nani kwake? Click to expand... Inategemea na mazoea. Kama mabosi wanaopenda sana kuwatuma tuma masecretary wao, anaweza akawa nyumbani akajisahau akamuita mkewe kwa jina la secretary wake!
kisesa said: kwani hilo jina ukimuliza ni nani kwake? Click to expand... Inategemea na mazoea. Kama mabosi wanaopenda sana kuwatuma tuma masecretary wao, anaweza akawa nyumbani akajisahau akamuita mkewe kwa jina la secretary wake!
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Nov 26, 2011 #8 keke said: Inakuwaje mpenzi wako / mume au mke anapo kuita jina ambalo siyo lako?? tena ni mara kwa mara? Click to expand... iyo imegonga kotekote!
keke said: Inakuwaje mpenzi wako / mume au mke anapo kuita jina ambalo siyo lako?? tena ni mara kwa mara? Click to expand... iyo imegonga kotekote!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,483 Nov 26, 2011 #9 Na wewe jaribu kumwita la mtu mwingine aone utamu wake.
mpoleeee JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 310 Reaction score 131 Nov 26, 2011 #10 we hapo picha tu ya anaemtaka.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,980 Nov 26, 2011 #11 Lol! Kazi ipo!