Inakuwaje akina Ditopile Kibao??

Ebu tuambiane ukweli hapa
Mimi sielwe hata siku moja, kama ukatili ndani ya Tanzania utaisha, kila kukicha unasikia huyu kamchinja mwenzie, sasa ni leo tu kule Tanga jaamaa kamchinja swahiba yake kabisaaaaaa, lakini haya yote ni hali ya kuchoka kwa wananchi na kuamua hiwe kama inavyokuwa.
Selikari kwa njama zake imeendelea kumshikilia na kumkumbatia huyu jamaa DITOPILE, bila kujua madhara yake, kwasababu sidhani kama kweli kitendo alichokifanya Dito kinaitaji uchunguzi wa Muda wote huo jamani, Hakuna anayezungumzia lolote, na jamaa anakula maisha tu mtaani,
Ila nadhani mliomchangua Kikwete mtakuwa mnajutia sasa hivi, kwa mambo anayoyafanya,
Bila kuangalia mambo haliyoyafanya BEST MAN wake alimtoa maabusu na sasa anamtafutia sehemu nyingine.
Kikwete huyo huyo ammendela kuwakumbatia mafisadi na wababe selikarini.
Ebu wananchi tuamue kitu kimoja jamani, kwasababu ali ni mbaya sana tena sana,
Ni mwezi wa sita tu hicho kijimama ie ZAKIA, kitasoma tena Bajeti nyingine, itayaendelea kuleta wimbi la matatizo na ujambazi juu.
Naomba msikubali kupelekwa belekwa jamani
ebu Kataeni, zomea, susia hao wapumbavu wa serikali,
Angalieni, angalie Kenya inakuja Tanzania

Ushauri wa bure hiyo picha ya MJKN ungeitoa Mkuu tumpe heshima yake au soma taratibu na sheria ya JF kuhusu uwekaji wa picha.
 
Back
Top Bottom