Inakukumbusha wapi hii??????

Inakukumbusha wapi hii??????

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,476
Reaction score
9,622
Dah, maisha yanaenda kasi sana kama radi!

Natamani kurudi lakini haiwezekani! Wewe Muhenga mwenzangu unakumbuka wapi?????

 
Mimi nilikuwa kidi sana enzi hizo. Ila namkumbuka Arnold na mtoto wake Jenii
 
mambo yamebadilika vitoto siku hiz ni virembo sana ,enzi zetu kulikuwa na wasichana wachache wenye staha lakin ilikuwa ngumu kuwapata nataman niludi ujanani nijaribu kuwatafuna tena ndio hivyo kabla hujamsemesha anakwambia babu shikamoo! Unaenda kujitazama kwenye kioo unakuta dah! Ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom