Inakuhusu mwanaume tunavyo wafanyia wanawake sio vizuri

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
INAKUHUSU MWANAUME!!

UKIFANYIWA KITU MBAYA USILALAMIKE
Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli, lakini kutokana na umahili wako wa ulaghai ukamdanganya weee mpaka akakubali.

Alipokubali tu ukataka umlale, lakini kwa vile alikuwa hajawahi kufanya Mapenzi (bikra) akagoma, ukaamua kutumia PHD yako ya ufuska ukafanikiwa kumvua chupi na kumaliza haja yako. wakati huo mtoto wa watu alikuwa na chuchu saa sita.

Haukuishia hapo ukataka tena na tena na tenaa, mpaka ukampatia mimba, lakini alipokueleza nina mimba yako naomba unioe. ukamjibu bado hujajipanga kuoa na ukamshauri mkaitoe, kwa kuwa binti aliwahi kusikia kuwa ukitoa mimba waweza kufa akagoma. hapo ndipo ukatumia ujuzi wako woote wa umalaya kumdanganya mpaka akakubali, makatoa mimba kwa bahati mbaya shuleni wakagundua akafukuzwa shule, wazazi wake wakahuzunika sana lakini wakashindwa wafanye nini.

Ulipoona wazazi wametulia, ukamfuata tena na kudai muendelee na Mapenzi kwa vile alikuwa anakupenda kweli, akakubali na Mapenzi yakaendelea. katika Mapenzi yenu sasa ukampachika mimba ya Pili mkatoa ya Tatu pia mkatoa na hatimaye mimba ya nne.

Binti akawa ameanza kuchoka, sura inakuwa ya kizee na maziwa yake yamelala kama sox za mgambo kwenye kamba, umbo lake la namba 8 halipo tena. wewe mambo yako yamekunyokeea sasa unataka kuoa mwanamke nwingine na kusema huyo demu wako siyo wife Material. UNAFIKRI HUYU BINTI ATAKUFANYAJE? TUBADILIKE WANAUME!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu.if you do dat to my cct a go remove terraces on yo ass hole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni laana moja kwa moja,

Mkumbuke laana siyo mpk muachiwe na wazazi wenu, au mababu na mabibi

Mkumbuke na madhambi yenu. Na lazima yakurudie yasipokupata wewe basi uzao wako na hilo halikwepeki.....

Msimfanyie mwenzio jambo usilopenda na wew kufanyiwa ....
 
Mwanamke ukipewa mimba na mwanaume akakushauri uitoe basi jua hakupendi au hatakuoa. Kwa kuwa nyinyi wenzetu uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo basi hamna namna acha tu "tuwatengeneze" mpaka hapo mtapoanza kujitambua.
Hata hivyo Zinaa ni dhambi, uchafu na ni njia mbaya na hayo ndo matokeo yake, tujiepusheni nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa hivo akili yake imelala fofofooo.
Only electric charges can awake you.
 
Back
Top Bottom