Unataka kuoa mahari umetoa na usivyo na adabu mimba ushaiingiza!
Mkuu hebu twende taratibu kwanza maana ninyi wanawake huwa mnanishangaza sana maana uchungu wa chachu mwaufahamu lakini lawama mwapeleka kwa mchachuzi.
Unapoandika kuwa mwanaume katia mimba una maana gani haswa?
1. Je hiyo mimba iliingia kwa nguvu za miujiza?
2. Au hiyo mimba iliingia kwa sababu kuna mwanamke fulani ambaye kwa akili zake timamu aliamua kuvua blauzi, ikafuata sketi kama sio suruali, halafu skini taiti na hatimaye chupi...baada ya hapo akalainishwa kwa kutomaswa tomaswa naye akalainika na kupanua mapaja ili mkwaju upite.
Mwanamke huyo huyo anajijua fika kuwa yupo chuoni na anapaswa kumalizia elimu yake maana yu mwaka wa mwisho na kwa kuwa ni msomi akilini mwake anajua fika kuwa 'Elimu ni Ufunguo wa Maisha' na wala hakuna dhana kwamba 'Mwanaume au mimba ni Ufunguo wa Maisha'.
Je ninyi wanawake hamfunzwi na wazazi wenu ni wakati gani muafaka wa kupata ujauzito?
Nani kakuambiwa kuwa ukishatolewa mahari tu basi una uhalali wa kubeba ujauzito?
Mimi naona wewe mleta mada unataka kupotosha wanawake wenzako tu hapa, na kilichokuongoza kuleta mada hii ni dukuduku la hasira ambazo zao lake ni uzembe.
Anza kwa kukemea wanawake wenzako wanaodhani kuwa mimba ni moja ya tiketi za kuhalalisha ndoa.
Waambie wabane mapaja yao wafiche nyuchi zao hadi wakati stahiki utapowadia.