iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
kweli mkuuu halafu huyu mwanamke anaonekana anataka jamaa amwendeshe kama verosa
bora hata wewe umeongea cha maana! kwa hiyo tukija kuoa kwa huyu mtoa mada tujiandae kuwatoa tandale tuwapeleke oysterbay kisa tu tunaoa kwao? eti ada, mara mahari,mara baba mkwe, mara mdogo wa mke kama huyu mtoa mada naye atataka ada ya shule ya ufundi, mara mdogo wa kike naye akasome hotel management, mara mama mkwe nae hajaja na yake, mara baba wa ubatizo naye hajaja na yake! hatuoi ng'ooooooooooooooooo!Nyinyi vp? kwahiyo mnasubiria ajitomeze bwana tu kutaka kumwoa binti yenu mukimbie majukumu yenu sio? kwani nyinyi mnajua mipango yake ya maisha yake ama kipato chake mpaka muanze kumsusia majukumu? hembu malizieni hayo majukumu yenu kwa mwanenu jamaa asije kumdharau kwamba kwenu walishindwa kukusomesha nimekusomesha mie. Familia zetu za kiafrika tunazijua, utakuta janaa tayari alishakuwa na majukumu kibao na tena anajiandaa na ndoa na maisha ya ndoa tayari mnamuongezea rungu lengine la ada?! hembu kuweni na imani. kunajaavyangu alifanyiwa hivyo akabeba mzigo wote wa ada, chakula na kila kitu kisa kapeleka mahali. sasa hivi namwonea huruma jamaa, pesa hakuna, wife kashajijengea imani mme anapesa basi shida tupu! jamaa anajfungia ndani all the time after work anazuga na movie. alikopa kukabili yale majukumu na sasa ndio analipa deni maisha magumuuuuuuuuuuu kama reli.
kumbe dada yenu ndo mnaetegemea awainue kiuchumi? shame on you mtoto wa kiume! halafu we utakua mtu costal area!Unataka kuoa mahari umetoa na usivyo na adabu mimba ushaiingiza!
Uyo mkeo mtarajiwa anasoma chuo mwaka Wa mwisho anadaiwa ada asilimia Fulani kama laki 5 tu. Wewe unafanya kazi nzuri tu na una mwaka Wa 6 kazini! Unaombwa na Mke mtarajiwa umlipie iyo balance eti mwambie babako au kakako akulipie. Je hii ni sawa? Najua wengi mnaogopa kusomesha wanawake hamjawaoa ila kwa huyu kuna ubaya gani? After all hujawahi mlipia hata ada ya nursery ni hii tuu! Au bwa shemeji una roho mbaya? Tunawasiwasi utamwambia nguo ya harusi anunuliwe na kaka zake! Bahati yako ushapangiwa mahari ungekuwa bado ungejuuuta kutufahamu.
kwanza hata hajamuoa mshaanza kumpa majukumu! kwanza huyo anaoa ya nini? kama maziwa kapata na ndama pia ananunua ng'ombe wa nini?Weeeeeeee tema mate chini! FYI she is our last born!!! Kila mtu ana maisha yake!!Afu samahani mie sio mtoto wa kiume
Nyinyi vp? kwahiyo mnasubiria ajitomeze bwana tu kutaka kumwoa binti yenu mukimbie majukumu yenu sio? kwani nyinyi mnajua mipango yake ya maisha yake ama kipato chake mpaka muanze kumsusia majukumu? hembu malizieni hayo majukumu yenu kwa mwanenu jamaa asije kumdharau kwamba kwenu walishindwa kukusomesha nimekusomesha mie. Familia zetu za kiafrika tunazijua, utakuta janaa tayari alishakuwa na majukumu kibao na tena anajiandaa na ndoa na maisha ya ndoa tayari mnamuongezea rungu lengine la ada?! hembu kuweni na imani. kunajaavyangu alifanyiwa hivyo akabeba mzigo wote wa ada, chakula na kila kitu kisa kapeleka mahali. sasa hivi namwonea huruma jamaa, pesa hakuna, wife kashajijengea imani mme anapesa basi shida tupu! jamaa anajfungia ndani all the time after work anazuga na movie. alikopa kukabili yale majukumu na sasa ndio analipa deni maisha magumuuuuuuuuuuu kama reli.
Na pengine mdada kapenda kutolipiwa kila kituNeno langu sidhani kama litasaidia mana huwezi jua mkewe mtarajiwa kapenda nini! Nina imani ujumbe ataupata mana najua ni member humu JF.
tatizo mnaolewa kwa kuangalia kazi nzuri ya mtu ndio matatizo
He he he he he, mwana harusi kafuata kipochi manyoa tu.
Kuwajibika ni kipaji, si kila mwanamme anacho kama mshedede.
Huyo jamaa jasiri sana, nampongeza kwa uamuzi wa kijasiri na kuthubutu.
Kama wanauchungu na elimu ya mtoto wao si wangetumia sehemu ya mahali?
Hahaha!! Nakuchukia unavyomfanya mdogo wetu
Je hii ni sawa? Najua wengi mnaogopa kusomesha wanawake hamjawaoa ila kwa huyu kuna ubaya gani? After all hujawahi mlipia hata ada ya nursery ni hii tuu! Au bwa shemeji una roho mbaya? Tunawasiwasi utamwambia nguo ya harusi anunuliwe na kaka zake! Bahati yako ushapangiwa mahari ungekuwa bado ungejuuuta kutufahamu.
Alafu bado anategemea bado kufunga nae ndoa loh mwambie akimbie mapema aisee si sawa