Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
Unataka kuoa mahari umetoa na usivyo na adabu mimba ushaiingiza!
Uyo mkeo mtarajiwa anasoma chuo mwaka Wa mwisho anadaiwa ada asilimia Fulani kama laki 5 tu. Wewe unafanya kazi nzuri tu na una mwaka Wa 6 kazini! Unaombwa na Mke mtarajiwa umlipie iyo balance eti mwambie babako au kakako akulipie. Je hii ni sawa? Najua wengi mnaogopa kusomesha wanawake hamjawaoa ila kwa huyu kuna ubaya gani? After all hujawahi mlipia hata ada ya nursery ni hii tuu! Au bwa shemeji una roho mbaya? Tunawasiwasi utamwambia nguo ya harusi anunuliwe na kaka zake! Bahati yako ushapangiwa mahari ungekuwa bado ungejuuuta kutufahamu.