Karibu dada na heri ya pasaka,
Kuchepuka ni tabia ya mbu na kwa hiyo si rahisi kuiacha. Ila bahati mbaya ni tabia ya watu tulio wengi. Hapo ndipo wataalamu wanapotakiwa kukuna vichwa. May tungeachwa tuishi kama wanyama wa porini (promiscuous) labda ingekufa yenyewe!
sante Mzee
DC .. hapo kwenye blue
kila mtu akifanya na kuwa hivyo na dhani tatizo limeisha..
God Bless
Lizzy.....watu wote wanaofanya ivyo wana''umasikini wa roho''-yaaani hata umlambe mwili mzima bado atakuona haumfurahishi....wanakela kweli kweli...ila mwisho wake ni mbaya.Nimeshashuudia kuna baba alikuwa anam''cheat'' mkewe na kimada wa hapo hapo mtaani....one day huyo mume wa mtu alipata ajali mbaya sana.Nyumba ilishika moto na ALIUNGULIA NDANI YA NYUMBA(Chumbani kabisa) YA HUYO KIMADA...YANI MSIBANI ILIKUWA GUMZO.
heri na kwako pia kaka..
cjui tufanyaje ilituridhike na ndoa zetu, mie wakati ule niljaribu kumuweka mr chini na kumuhoji ni kitu gani kimempelekea mpaka akafanya vile, jibu ni kwamba hata mwenyewe hajielewi y alifanya hivyo, kwa maelezo yake ni kwamba anajutia sana coz hakuna kipya alichokiona huko, sasa y uli cheat, nisamehe mke wangu...khaaa jamani...
Lizzy mpendwa.....kuna mambo mengine humu ndani hata ujitahidi vipi kumshirikishano mwenzio muende sawa unakosa ushirikiano, wengine ndio wanaamua kujilipua kimapango mwingine,utashangaa baba ana mke mzuri sana kwa mtazamowa nje kilamtu anamtamai na binadamu tunaona kila kitu kinaenda sawa kwa huyo mama lakini utakuta mr wake ni kilafi balaa watu mnabakia kushangaa, kuna mambo kibao kwenye hizi doa...
Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji
AD ninaomba unisome vizuri utanielewa. Hakuna binadamu anayependa maovu wala kuombea mwenzake uovu but pia it will be an ignorance kama tukiamua kufight kitu pasipokielewa vizuri....know the reasons, circumstances na situations zinazopelekea kuwepo kwa hilo tatizo then start dealing with them.................tuache unafiki wa kufumbia macho vitu kwa madai ya kuwa havihusiani na tatizo huku tukitaka kudeal with the symptoms..................... tunafight malaria kwa kuleta vyandarua na kila versions za madawa ya kutibu malaria wakati tunaendelea kufuga mazalia....................
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
Lizzy huna haja ya kukata tamaa.kama alivyosema Babu DC play your part.omba MUNGU akupatie mtu wa kufanana nawe .tukiipata kapo yenu moja ambayo ni aminifu ni wazi kuwa tuna mwanzo mzuri na vita tutavishinda.... but just be careful usijiaminishe sana kwani ni bora ukajatendwa huku ukitegemea ungetendwa maumivu yake si makali sana kuliko ukajiaminisha hutotendwa na kisha ukajatendwa.Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji
Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji
Aisee kitanzi sivai...labda ila sidhani!Kwa hali hii bora nibadili dhehebu nikawe mtawa ikibidi!Utaimudu nguvu ya nature? Wewe ingia kwenye mchezo tu bila kujali kwamba kuna rafu tena nyingine za hatari. Ukitokea kuwa muhanga basi potelea mbali, wengine watakufanyia reference. Kukaa nje pia ni hatari sana!
Mshukuru Mungu kwamba akina Nyamayao et al. (and others) wamekupatia walau hadidu za rejea kwamba kwa sasa unajua nini cha kutegemea ukishakivaa kitanzi!
mmmhhhh
asante
still it doesn't make sense to me ..
pamoja na hizo reasons, circumstances na situations
bado sielewe vipi kutoka nje ya ndoa inasaidia nini kwenye ndoa mtu aliyonayo???
Anyway asante kwa majibu yako ..
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
mmmhhhh
asante
still it doesn't make sense to me ..
pamoja na hizo reasons, circumstances na situations
bado sielewe vipi kutoka nje ya ndoa inasaidia nini kwenye ndoa mtu aliyonayo???
Anyway asante kwa majibu yako ..
Lizzy huna haja ya kukata tamaa.kama alivyosema Babu DC play your part.omba MUNGU akupatie mtu wa kufanana nawe .tukiipata kapo yenu moja ambayo ni aminifu ni wazi kuwa tuna mwanzo mzuri na vita tutavishinda.... but just be careful usijiaminishe sana kwani ni bora ukajatendwa huku ukitegemea ungetendwa maumivu yake si makali sana kuliko ukajiaminisha hutotendwa na kisha ukajatendwa.
Jikabidhi kwa Muumba wako akuepushe................. mapenzi yasikieni kwa mbali tu wapendwa wangu
Aisee kitanzi sivai...labda ila sidhani!Kwa hali hii bora nibadili dhehebu nikawe mtawa ikibidi!
Ahsante sana AD na pole kwa kukueleza hizi hadithi ambazo kweli zinaleta nausea na kizunguzungu!
Binafsi huwa naamini kwamba binadamu anatakiwa ku-play party yake responsively kabla ya kuwaangalia wengine. Bahati mbaya wengi tunaanza kwa kuwaangalia wenzetu na kulaumu kabla hatujatimiza wajibu wetu.. That's very wrong!