Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
- Thread starter
-
- #21
Pole Sana mkuu.Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara
UmeitwaSasa unatuambia Sisi ujinga wako huo
Wacha ujinga🤣Sasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.
We upo tyr kukaguliwa kwanzaKuna watu mafundi wa kukagua simu za wanawake kama nyie wanaume?? Nyie mnaonaga mpo na haki ya kukagua simu zetu ila zenu hamtaki zishikwe.
Na kama haufanyi kitu kibaya kwa nini simu yako ikikaguliwa ukasirike?
Nadhani umeoa, lakini bado una mentality ya bachelor. Ungeelewa kwamba kukubali kuoa kunamaanisha ku-surrender sehemu kubwa ya hizo unazoziita faragha zako, wala lisingekushughulisha. Je, na yeye akiwa na faragha na ma-X zake halitokuumiza? Kama jibu lako ni ndio, basi unajua unachopaswa kufanyaNilishamkataza kukagua simu yangu.
Kuna faragha hata kama yeye ni mke wangu aruhusiwi kuzijua .
Nilishampa warning since day one.
Anavuka mipaka .
Halfu anataka ndoa kwa mtindo huu
Kumilikisha sehemu za Siri isikupe ujasiri, ukadhani unamiliki maisha yake yoteSasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.
Wacha ujinga[emoji1787]
Ukuje nikague hio fone yako first🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We upo tyr kukaguliwa kwanza
Kumilikisha sehemu za Siri isikupe ujasiri, ukadhani unamiliki maisha yake yote
Mara nyingi, anayekagua si kwamba anataka kujua asichojua kuhusu mwenza wake bali anataka thibitisha aliwazalo juu ya mwenza wake.
Ukuje nikague hio fone yako first[emoji1787]
High level of Honesty unastahili tuzo.Kabisa nipo tayari kabisaa.
Tena mimi simu yangu ni yake na watoto. Hadi watoto wanajua namna ya kutoa password.
Sio malaya wala simcheat Ila sihitaji
Kumbe ndio maana 😀 now i get it right!Hahahaha yaani hautatoka na kitu.
Mimi sina mambo mengi kabisa.
Nikiona huyu mtu ataniletea shida hata namba yangu ya simu simpi.
Simu ya mkononi ni ya mtu mmoja sio wengi.
Akisikia naongea na sauti ya kike ananuna.
Nikichart na mwanamke anakasirika.
Ananiingilia faragha zangu hata kama nimemuoa.
Simu yake hata password siijui
Kumbe ndio maana [emoji3] now i get it right!
Umefikia
High level of Honesty unastahili tuzo.
Mm nimempa uhuru anaotaka aniache na maisha yangu pia.Sasa mwanamke unaongea naye nini inategemea. Slogan ni ile ile hamna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.
Sasa huyo mwanamke unayeongea naye ni nani na mnaongea kuhusu kazi au mambo ya urafiki tu?
Wewe ukisikia mke wako anaongea na wanaume ambao sio kaka yake au baba yake utachekelea?