simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 925
- 1,010
hata ulipwe millioni 10 kwq mwezi bado haitishi kwa mwezi pesa haitishelezi unashaangaa mfanyakazi wa serikalini analia hivyo ujaona wafanya biashara wakubwa wanalalamika uchuni unayumba
That is not in dispute! The Welfare of Public Servants Sir!
Tufanye ya kununua dawa ipo kwenye Bima ya afyaEbu Angalia hii budget...
Chakula. cha mchana ...4000
Maji yakunywa 1000
Juice .....1000
chakura cha usiku kiko 4000
Balimi 2 Tsh 5000
Hapo ujaweka Usafiri ...pia vocha.... hapo pia ujaumwa ukanunua vidonge. ..hapo mama kijijini ujamtumia chochote ...Tena hayo nimaisha yamtu aliye single ukisema uoe ujue lazima uukimbie mji..yaani iyo laki tano aiwez kutosha.
Swala ni mnyama. Uwe makini unapoandika sbb neno moja linaweza kuleta tafsiri nyingine. Suala ndiyo neno sahihi.kuongeza kipato na kupunguza matumizi vyote ni muhimu utaongezaje kipato cha pili bila kujibana
Usipotoshe watu mkuu swala kujibana ni la muhimu sana kuna kipindi unahitajika kujibana ni muhimu kuwa na malengo hauwezi ukatengeneza source ya pili ya kipato bila kujibana vinginevyo utaishia kulalama kila siku mshahara hautoshi huku unatumbua
Halafu mtu anakuambia ujibane. Utajibana mpaka lini wakati maisha yenyewe mafupi?Ukiwa mkubwa utajua kuwa watu wakubwa hawanaga hela siku zote.
Unavyozidi kupata pesa ndivyo majukumu yanaongezeka.
Ndiyo ujuulize kwann Bill Gate hajaacha kutafuta fedha licha ya kuwa tajiri namba mmoja duniani?hata ulipwe millioni 10 kwq mwezi bado haitishi kwa mwezi pesa haitishelezi unashaangaa mfanyakazi wa serikalini analia hivyo ujaona wafanya biashara wakubwa wanalalamika uchuni unayumba
Kama ni ndugu zako ni rahisi kujua watu wanaowazunguka na watu wanaowategemea. Nakuhakikishia ni rahisi kwa mama aliye ndugu huko kijijin kuomba msaada kutoka kwa mfanyakazi kuliko kuomba msaada kutoka kwa nyie mnaojiita wafanyabiashara.Huwa najiuliza sana, mtu analipwa si chini ya laki 5, hana majukumu yoyote zaidi ya kula na kuvaa lakini kabla mwezi haujaisha anakua kafulia choka mbaya, account bank iko nyeupe pee!
Nina ndugu zangu wa karibu huwa wananishangaza sana, daily kufulia na kuanza kunipiga vizinga, mimi mpiga dili tu wa mtaani nisiyejua harufu na utamu wa mshahara.
Wanawake ndo wanaongoza kufulia hasa wale watoto wa mjini.
Tatizo nini jamani?