Inakuaje mtumishi wa umma unafulia na kukosa hata mia wakati unalipwa mshahara?

Sasa kutokurizika si angeugulia maumivu yeye mwenye kuliko kupiga watu mizinga?
Sio rahisi kuacha tabia uliyoizowea kwa muda mrefu, labda mizinga ilikuwa jadi yake na sasa gia zimebadilika angani.
 
Siri ya mafanikio yyte ni kutoridhika na unachopata.
Ukilijua hili utatafuta alternative za kumake more money.
KuMake more money kwa kupiga mizinga wengine na kulialia shida?uMatonya wa mazoea si kujiaibisha mkuu?
 
Ha ha ha ha
Unachemsha maji. Utajibana mpaka lini? Waliojibana mbona sijawaona wakiwa matajiri? Siku zinaenda naona wapo vile vile.
Ili uweze kuendelea kimaendeleo epuka kujibana bana.
Uache kula nyama ule dagaa kisa unajibana au utembee na maji uliyotoka nayo nyumbani wakati kuna maji mpaka ya 500.
Kuna watu kwa siku wanatumia mpaka 300,000 lkn bado hujamzidi maendeleo licha ya kujibana sana
kujibana ni jambo moja, issue ya msing unajibana kwa sababu gani. Jibane kwa lengo la uwekezaji. Na kuna muda baada ya uwekezaji, ndipo utaanza kurelax.
 
Bila shaka wewe ni mpiga mizinga maarafu.Jiwe lilotupwa gizani limekupata.Hakuna namna endelea tu kutanua kwa hela za mizinga wala usiishi kulingana na kipato chako!
 
KuMake more money kwa kupiga mizinga wengine na kulialia shida?uMatonya wa mazoea si kujiaibisha mkuu?
Hayo sijazungumzia mkuu labda niseme ni ya kwako. Kumake more money ninayozungumzia mm ni kuenvest kwenye shughuli zingine yaan kufanya biashara n.k
Kuajiriwa halafu unapiga watu mizinga ni ulemavu wa akili.
Kingine ktk upande wa mwanamke ni nature yao tu. Mwanamke akishakuwa mkeo hata km angekuwa makamu wa raisi halafu ww ni mwalimu wa shule ya msingi lazima akuombe pesa tu. Hiyo haipingiki mpaka kesho kutwa
 
Bila shaka wewe ni mpiga mizinga maarafu.Jiwe lilotupwa gizani limekupata.Hakuna namna endelea tu kutanua kwa hela za mizinga wala usiishi kulingana na kipato chako!
Pole sana. Ndiyo tatizo la wafrika hili. Wanapenda sana kujudge bila kuwa na uhakika wanachokisema. Inaonekana ww ulikuwa mpiga mizinga ukastaafu kwahiyo ukimuona mtu unahisi ni mpiga mizinga.
Pole sana tena sana.
 
kujibana ni jambo moja, issue ya msing unajibana kwa sababu gani. Jibane kwa lengo la uwekezaji. Na kuna muda baada ya uwekezaji, ndipo utaanza kurelax.
Umeandika vyema. Wengi wanaotumia kuanzia laki wameshajiwekeza ndiyo maana wanarelax. Ila kwa mm na ww tutumie pesa kwa mambo ya msingi na muhimu.
 
Na unadhani wenye matumizi ya kuanzia laki kwa siku hawakupitia hayo maisha ya kujibana wakati wa kutafuta mitaji sio?

Ngoja tuendelee kusubiri mitaji ya kutokea hewani mkuu.
 
Uyu jamaa ana sera za kimaskini musimfuate
Hahah aisee mkuu umeona nimepata kazi ya mshahara wa 60,000 kwa mwezi kutoka kwa boss hapo juu,vipi nikutumie buku uunge whatsaap ucheki zile notifications za ma group yako?
 
Na unadhani wenye matumizi ya kuanzia laki kwa siku hawakupitia hayo maisha ya kujibana wakati wa kutafuta mitaji sio?

Ngoja tuendelee kusubiri mitaji ya kutokea hewani mkuu.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kujibana na kuwa na matumizi mazuri ya fedha. Watu wengi hawajui watumie maneno yapi ili waeleke.
Ndiyo maana ukimuuliza mtu nini tofauti kati ya msichana na mwanamke au kati ya women's day na Mothers' day watakuambia ni kitu kimoja.
 
Na unadhani wenye matumizi ya kuanzia laki kwa siku hawakupitia hayo maisha ya kujibana wakati wa kutafuta mitaji sio?

Ngoja tuendelee kusubiri mitaji ya kutokea hewani mkuu.
Ndio kwanza leo umemsapoti aliyeandika pont
 
kujibana ni jambo moja, issue ya msing unajibana kwa sababu gani. Jibane kwa lengo la uwekezaji. Na kuna muda baada ya uwekezaji, ndipo utaanza kurelax.
Boss wangu @ McMahoon yeye anasema we ukipata mshahara tumbua wote tu kwa sababu mshahara wenyewe hautoshi kabisaa,kula mshahara kwa kadri uwezavyo.

Sijui anadhani mitaji hua watu wanayoanza nayo kwenye biashara hizi ndogo ndogo hua inapatikana kutoka wapi?
 
Boss wangu @McMahoon yeye anasema we ukipata mshahara tumbua wote tu kwa sababu mshahara wenyewe hautoshi kabisaa,kula mshahara kwa kadri uwezavyo.

Sijui anadhani mitaji hua watu wanayoanza nayo kwenye biashara hizi ndogo ndogo hua inapatikana kutoka wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom