Hata Kama mkuu, ndo kweli mtu apate zero?
.Moyo umeniuma baada ya kusoma heading,Tuliofeli o level tunadhalilishwa Sana.
The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
Dah four Yangu ya 28 imenipa degree ya electronics engineering.. Hivi ni Kwanini nilifeli o'level?? Halafu na haka kamshahara sio kanguMkuu hapana huo sio mimi, halafu mbna Mimi hakuna MAHALI nimejitapa mm nauliza inawezekanaje mtu kufeli O'level?
Mkuu huu ulikuwa na mtihani wa MTAANI ili kujipima uwezo wangu na nilipogundua siko fiti, ilinibidi kuongeza bidii zaidi ya mwanzoUnashangaa kwa nini watu huwa wanafeli. Kwani siku uliyopata 15/100 kulikuwa hakuna watu waliopata maksi nzuri? Imagine hao nao wangeuliza kwa nini ulipata 15/100. Hilo ndio jibu.
Hata vidole havilingani ndugu,pia elewa wapo waliosoma lakini wako mitaani chokambaya hawana mbele wala nyuma na wako ambao waliishia darasa la saba lakini leo ni matajiri wa kutupwa,mtafute Kishimba na Msukuma leo ni matajri wa kutupwa na pia ni wabunge ndo wanakutungia sheria wewe uliyesoma.Tununu
Mkuu ulipitia FTC?Dah four Yangu ya 28 imenipa degree ya electronics engineering.. Hivi ni Kwanini nilifeli o'level?? Halafu na haka kamshahara sio kangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hata sikuelewa nilipataje hiyo zero ilinikumba tu kama maumivu ya kichwa yaupatamo mwili... ... Lakini baada ya kuzeeka ndiyo nimegundua makosa yangu..Sikatai ndgu yangu Hilo lipo, but inawezekanaje?
Hebu jiulize mtu test tube hajawahi kuiona anaisoma tu, yale majaribio yote ameyasoma tu hajawahi yafanya. Mwalimu wake wiki 1 darasani wiki 3 kufatiria mshahara na stress kibao!.Mkuu hii ni kwa advance ndo nimesoma tuition but kwa nature ya masomo ya O'level ukisoma huwezi kushindwa kuondoka na division 3
Mkuu huu ulikuwa na mtihani wa MTAANI ili kujipima uwezo wangu na nilipogundua siko fiti, ilinibidi kuongeza bidii zaidi ya mwanzo
Inawezekanaje mzee mengi ni tajiri na mimi ni fukara wakati sote tupo Tanzania hii hii?Mkuu hapana huo sio mimi, halafu mbna Mimi hakuna MAHALI nimejitapa mm nauliza inawezekanaje mtu kufeli O'level?
Huyu anashangaa o level alaf anataka kuhalalisha kufeli advance...Unashangaa kwa nini watu huwa wanafeli. Kwani siku uliyopata 15/100 kulikuwa hakuna watu waliopata maksi nzuri? Imagine hao nao wangeuliza kwa nini ulipata 15/100. Hilo ndio jibu.
Hahahah issue ya mafanikio ni habari nyingine mkuu, yenye Mambo mengi ndani yake?Inawezekanaje mzee mengi ni tajiri na mimi ni fukara wakati sote tupo Tanzania hii hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kweli panick ipo Tena Mara nyingi huwa kwenye mitihani ya mwanzo mwanzo, lakini inaweza kukusababisha upate zero, kwa uzoefu NECTA nyingi za O'level maswali ni meupe Tena huwa Mara nyingi maswali yake yanajirudia wanacopy mitihani ya nyumaKwanza nataka utofautishe kati ya kuelewa darasani,kufaulu mtihani,na kufaulu mtihani wa o-level necta
Ili ufaulu mtihani kunakuwa na mamabo panicking ndogo tu inaweza kukufelisha mtihani wote.So mshukuru Mungu kama ulivuka salama.
Advance na O'level ni vitu viwili tofauti, mtunga mtihani Advance ana wigo mpana mno haswa kwa comb. za sayansi, Physics, A.maths na chemistry kwa advance huwezi kuzilinganisha na O'level kule ni mziki kwelikweli Kama umesoma sayansi advance utanielewaHuyu anashangaa o level alaf anataka kuhalalisha kufeli advance...