Inakuaje mpaka mtu anafeli O'level?

kama ambavyo umenyoosha mikono kwa physics ya advance basi ujue kuna wenzako ukiwakabidhi Nelkon, University physics, Rogers na Chand hakuna swali linamchomoa.

Pia, kufaulu mtihani sio kipimo cha akili. Kila mtu ni expert kwenye field yake au talent.

Inawezekana ndio, 80% ya wanaofeli form 4 ni kwa ujinga wao, ya ndio ujinga wao, lakini hakuna haja ya kuwaona ni wajinga maana hicho sio kipaji chao, huenda ukimkuta kwenye anga zake atashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nadhani umeenda mbali kidogo, sijasema wajinga but kwa elimu ya O'level mm nilichouliza ni inawezekanaje mtu akafeli baada ya miaka4 yote kuwepo shule.

Kama umepitia elimu hi utakubaliana na mm Kama kweli unasoma maswali hayana chenga nyingi za kushindwa kupata angalau C kwa masomo manne
 
Diamond alifeli pia ila ana hela na wadhifa kuliko wew uliefaulu. Kama una elimu ya kutosha na hauna hela we ni sawa na nabii tito tu

Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania mnakera mnooo! mnsiponda sana elimu et sijui haikusaidii kitu!!
sasa mbona mkizaa watoto mnawapeleka shulee?
Kama ni hivyo msipeleke watoto shule waacheni tu, watafanikiwa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale tuliojikuta tumemaliza form 4 hii thread haituhusu.
 
Moyo umeniuma baada ya kusoma heading,Tuliofeli o level tunadhalilishwa Sana.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Nitarudi tena kuchangia nipo katika hatua za mwisho kukamilisha tafiti yangu kuhusu mada husika nitarudi nikiwa na konki nondo kuhusu hizo sababu
 
Nitarudi tena kuchangia nipo katika hatua za mwisho kukamilisha tafiti yangu kuhusu mada husika nitarudi nikiwa na konki nondo kuhusu hizo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…