Inakuaje mpaka mtu anafeli O'level?

Yes nimesoma shule za serikali, lakini km ukiniuliza hili swali nitakuambia sijui kwa sababu kwa maswali ya kidato Cha nne Mara nyingi huwa hayana chenga nyingi kwa hiyo the way Hawa wanafunzi wanavyofeli mm sifahamu kabisa, na sielewi inakuaje mpaka wanakosa majibu wanachora mazombi kwenye karatasi za kujibia
 
Hahaha tukana tu mkuu umalize hasira zako

tatizo nilichokujA kugunduaa lengo lako c kujua et kwann MTU anascore zero o level

umekuja kututangazia ubabe wako na mafanikio yakoo. na huu uziii wako umekaa kinafki sana.

HYPOCRISY100%

.Na huind mbiguni kwa tabia hiyo
 
Masanja ng'wandu ameishia darasa la saba alianza kufanya biashara ya ng'ombe anazitoa kwao kanda ya ziwa hadi dsm,mwaka 2013 alikua na mtaji wa 20m na Sasa ana mtaji wa zaidi ya 100m.Vijana wanaomsaidia kutafuta ng'ombe vijijini hakuna hata mmoja aliyepata elimu ya sekondari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo nilichokujA kugunduaa lengo lako c kujua et kwann MTU anascore zero o level

umekuja kututangazia ubabe wako na mafanikio yakoo. na huu uziii wako umekaa kinafki sana.

HYPOCRISY100%

.Na huind mbiguni kwa tabia hiyo

Duuuuuuh umewaza mbali Sana.
Anyway nayaheshimu mawazo yako
 
Elimu na mafanikio ni vitu viwili tofauti na Mimi sijazungumzia mafanikio mkuu
 
utajiri na ukilaza ni vitu viwili tofauti you will be "Reach but Kilaza"
 
Dunia ina mengi ya kishangaza na kifurahisha elewa tu tupo tofauti na utofauti huo ndio unaotufanya tuwe tulivyo.
 
Kweli kabisa nakubaliana na wewe mkuu, lakini hii haikuwa dhima ya uzi huu
 
Lengo la elimu ni kumsaidia mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima utajirike lakini. Hawa akina masanja uliowataja uliwahi kufuatilia maisha yao lakini pamoja na wingi wa pesa wanazomiliki? wanatembea na kandambili, wanalala kwenye ngozi namasharti lundo ya kishirikina lakini msomi anapata kidogo anatumia kubandilisha maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…