Na kweli,..lakini yule atabebwa tuu hata huko msumbiji maana sasahivi anazidisha juhudi katika kulijenga taco lake,.nadhani hata angola akienda kinyume nyume watampokea tuu..Mkuu hata Tukisambaraika leo tukimbilie Msumbiji, Angola ect unaweza kufuatia vyeti vyako na maisha yakaendelea. Sasa wale wa hisani ya Godfather ndiyo watajua kuwa maharage si mboga.
Unataka kunipeleka??Unakujua kusikojulikana?
hahaha leo pale msiban alitaman hata kuingia kaburini ili apate huruma ya umma!Baba Keagan atusaidie kujibu hili swali tafadhali.
A contry’s Pumpkin 🎃hahaha leo pale msiban alitaman hata kuingia kaburini ili apate huruma ya umma!
Mwambie ata vidole havifanani na asione machizi barabarani ile yote ni mipango ya Mungu na maisha umefaulu sio kwa ujanja wako.Kwanini hukupata one ya Saba???
Mda huo wewe unapewa pesa ya tuition mwenzako hata hiyo hela hapewi ada yenyewe inatakiwa apambane kufanya vibarua ili alipe ada na matumizi yake binafsi. Kaka maisha yapo tofauti Sana ukifanikiwa shukuru mungu usimcheke asiye fanikiwa tumetofautiana sana
Ndgu yangu nakutafta Sana.Ninyi watu mnaopata matatizo mnao watu wa kuwafowadia mna mbwembwe kweli.
Wewe kazi yako ilikuwa ni kusoma tu na kila ulichokihitaji kwaajili ya shule mzee wako alikupa.
Sisi wengine kila kinachokukuta utamaliza mwenyewe.
Huna ada, huna uniform, hujui utakulaje, materials n.k ni jukumu lako mwenyewe.
Hakuna anaekujali.
Mimi ilifikia mahali mpaka nikawa nikiishiwa viatu siendi shule mpaka natafutwa na walimu ( maana nilikuwa nafanya vizuri ).
Ingawa nimesoma mpaka kuhitimu MUHAS ila nimelazimisha sana.
Njaa, Kutojali, Uvumilivu, kulala nje, Self psychology, Kuishi kwa matumaini, Kuandika notisi kwa mikono n.k ni sehemu ya maisha.
- So imagine uwe katika hali kama yangu halafu upo Dar es Salaam unakopigana na makondakta kila siku, matokeo mabaya lazima yatakuhusu.
Duuu mbona mna maneno makali sana wakuu.Na kweli,..lakini yule atabebwa tuu hata huko msumbiji maana sasahivi anazidisha juhudi katika kulijenga taco lake,.nadhani hata angola akienda kinyume nyume watampokea tuu..
Yeah mkuu kumbuka akili watu wanapewa na Mungu kama huamini katika ilo fanya mapinduzi ya kisayansi kupitia bachela yako ya udsm utukumboe watz na technology za abroad.Kwa hiyo mkuu kufeli O'level ni mipango ya mungu?