Mtoa mada umekosea sana, swala la mwanafunzi kufeli inategemea na mambo mengi ikiwemo swala la miundombinu, ufahamu wa mwanafunzi husika mfano hujawahi kuona mwanafunzi hajisomei lakini anafaulu mwingine anasoma sana lakini bado anafeli!? Kama ni hivyo kwanini ulipata div one ya 13 na sio ya 7?.
Nikutoe nje ya mada, kwanini kuna masikini na matajiri! Kuna watu wana uwezo wa kuona fursa na kuzifanyia kazi kisha kuwa matajiri, kuna mwingine hata ufanye nini hawezi kuona fursa zinazomzunguka na hana uthubutu wa kufanya jambo lolote. My point is watu tunatofautiana sana unachokiona kwako kinawezekana mwenzio hakiwezi and vice versa is true.