Inahusu Ramani ya Afrika

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Kuna Great Thinker niliwahi kumsikia akisema kwamba ukitazama kwa makini Ramani ya Afrika utaona imekaa kama bastola; ukiamu kushika kwa juu kifyatulio kinakua Somalia, Ukiamua kushika kwa chini kifyatulio kinakua DRC, jE KUNA UKWELI WOWOTE?
 
unaweza kuishika kifyatulio kikawa Nigeria
 
Halafu umeweka hapa ramani ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…