Inahusu ndoa

Dah!mpaka ameshindwa kumalizia kuandika.,Baba paroko toa msaada huyu ni teja wa mkuyati tena ule wa asili kutoka kwa Mshana junior.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee . Muulize kwanza halisha wahi kuwa na mahusiani hapo kabla na kama sii hivyo jua huyo ni mwaangaliaji sana wa pornographics so ina affect that kichwa chake. So ushauri mpe tuu aache kupinguza kuaangalia hizo picha itafika sehemu atakuwa normal
 
Sasa... mnakula saa ngapi... na huyo jamaa haendi kutafuta?... mtakufa na njaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Safi sana kaka.. zidisha dose.. utakuwa ni mwanaume wa mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…