Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Iv mkopo asilimia mia moja ni kama shingap nimeambiwa n million tatu na laki moja n kweli au
100% ni kulingana na ada yako ina maana ukipata 100% unalipiwa ada yote haijalish ni sh ngp
Unapoambiwa 100%,maana yake unalipiwa ada yote haijalishi na haupewi cash. Sasa ww unayesema anakalili toa maelezo yako
Haraka ya nini?subiri wakitoa ndo utaelewa au umeshapga bajet ya kujenga nyumba kwa boom
jifunze matumizi ya new Alert sio kila upuuzi unalitumia hilo neno
100% ni kulingana na ada yako ina maana ukipata 100% unalipiwa ada yote haijalish ni sh ngp
Achakujifanya mjuaji ndugu. Ahlaaaa nyambafuuuu