G gen parton JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 642 Reaction score 412 Jun 2, 2014 #1 Wadau mwenye tractor la aina hiyo au lolote na jembe liwe linaoperate ofa M15 au aneyeza nisaidia kuagiza kwa ofa hiyo
Wadau mwenye tractor la aina hiyo au lolote na jembe liwe linaoperate ofa M15 au aneyeza nisaidia kuagiza kwa ofa hiyo
A.Abdon JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 217 Reaction score 38 Jun 3, 2014 #2 Ngoja tucheck
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,239 Reaction score 61,155 Jun 3, 2014 #3 Ungeweka details zote aina ya tractor kama ni Massey au ford na ukubwa, ni Farm truck tractor kwa 15m itakuwa ni mbovu sana sikushauri kwa 35m ina ubora
Ungeweka details zote aina ya tractor kama ni Massey au ford na ukubwa, ni Farm truck tractor kwa 15m itakuwa ni mbovu sana sikushauri kwa 35m ina ubora
H HASANALIS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 211 Reaction score 47 Jun 3, 2014 #4 gen parton said: Wadau mwenye tractor la aina hiyo au lolote na jembe liwe linaoperate ofa M15 au aneyeza nisaidia kuagiza kwa ofa hiyo Click to expand... Wasiliana na jamaa huyu anayo matrrctor kibao 0715214636
gen parton said: Wadau mwenye tractor la aina hiyo au lolote na jembe liwe linaoperate ofa M15 au aneyeza nisaidia kuagiza kwa ofa hiyo Click to expand... Wasiliana na jamaa huyu anayo matrrctor kibao 0715214636
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Jun 3, 2014 #5 huyu bwana mwanzoni hata mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati
huyu bwana mwanzoni hata mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati
G gen parton JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 642 Reaction score 412 Jun 3, 2014 Thread starter #6 Nantes said: huyu bwana mwanzoni hata mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati Click to expand... kaka kwenye business lugha sio muhimu sana cha msingi maelewano ndio maana wachina tunafanyanao busuness japo hwajui swahili
Nantes said: huyu bwana mwanzoni hata mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati Click to expand... kaka kwenye business lugha sio muhimu sana cha msingi maelewano ndio maana wachina tunafanyanao busuness japo hwajui swahili
G gen parton JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 642 Reaction score 412 Jun 3, 2014 Thread starter #7 Nantes mbona pm umekuja vizuri kama mtu ulieelewa somo vizuri