Inahitajika Rav 4 ya 2006-08 (Miss TZ)

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,957
Reaction score
14,754
Inahitajika RAV 4 ya kuanzia mwaka 2006 mpaka 2008 alimaarufu miss tz. 1. Bajeti milioni 15 - 18.
2. Km zisizidi 90,000.
3. Namba kuanzia D hata C iliyo bomba itafikiriwa.
4. Isiwe imepata ajali wala kurudiwa rangi.
5. Engine iwe poa.
6. Ukaguzi unafanyika kwa fundi wetu.
7. Rangi yeyote.
8. Iwe safi ndani.
9. Ikiwa haina tairi la nyuma kama vanguard itapendeza zaidi.

Muhimu iwe Dar kuepuka usumbufu na gharama ya kuikagua ukiwa mkoani gharama ya kuileta Dar na ukaguzi juu yako.

Karibuni
 
Akiagiza nje fundi wake atakaguaje? Au garama itakuwa kwa mjapani muuzaji? hahahha
Gari zilizotumika nchini lazima fundi akague vyema maana wengi wanauza inapokuwa imeharibika... Wachache uuza kwa sababu nyinginezo...

Wale wajapani mara nyingi husema kweli tupu kuepuka kuharibu reputation ya kampuni yao...
 
mkuu nimekusoma unaweza kuweka picha yake walau kunifumbua macho maana huenda nachangaya mafile
 
Ntumie namba yako ya whatsap nkurushie gari ya mkurugenzi Mmja anayo anaiuza Mln 16.5 gari ina vigezo vyote unavyotaka,ni pm namba yako nkutumie ntaku link naye owner

Mrangi from gairo

Ova
 
Sorry Kumbe ni rav4 kilitime hii

Mrangi from gairo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…