Ahmad Mtumbi
Senior Member
- Jun 11, 2012
- 106
- 30
mwenye simu tajwa hapo juu na ambayo iko ktk hali nzuri nahitaji kuinunua.
Unaweza kuni-pm.
Unaweza kuni-pm.
Mkuu,una sh.ngapi?
vipi wadau hakuna mwenye nayo?
250000,not negotiable.
Mbona nimeku pm halafu kimya?weka contact tumalize biashara tufanye mengine.
.Mbona nimeku pm halafu kimya?weka contact tumalize biashara tufanye mengine.