Yellow bone JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 256 Reaction score 330 Jul 1, 2017 #1 Habar wadau Ninatafuta mikanda ya kimasai kama ilivyo kwenye picha... Nahitaji nina order kubwa..kama unamtu unamfaham anatengeneza naomba anisaidie mawasiliano.. Thanks wadau. Attachments Screenshot_20170701-120427.png 316.6 KB · Views: 67
Habar wadau Ninatafuta mikanda ya kimasai kama ilivyo kwenye picha... Nahitaji nina order kubwa..kama unamtu unamfaham anatengeneza naomba anisaidie mawasiliano.. Thanks wadau.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jul 1, 2017 #2 Vuta subira utasaidiwa na wanaojua
Yellow bone JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 256 Reaction score 330 Jul 1, 2017 Thread starter #3 Mwifwa said: Vuta subira utasaidiwa na wanaojua Click to expand... Thanks mkuu..nasubir
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,943 Reaction score 54,001 Jul 1, 2017 #4 Upo wapi, ungekua Arusha ungeipata kwa unafuu tokea kwa watengenezaji wenyewe ila ukiinunua curio bei itakua ipo juu kidogo
Upo wapi, ungekua Arusha ungeipata kwa unafuu tokea kwa watengenezaji wenyewe ila ukiinunua curio bei itakua ipo juu kidogo
Yellow bone JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 256 Reaction score 330 Jul 1, 2017 Thread starter #5 Mtoto halali na hela said: Upo wapi, ungekua Arusha ungeipata kwa unafuu tokea kwa watengenezaji wenyewe ila ukiinunua curio bei itakua ipo juu kidogo Click to expand... Nipo dar ila niko tayar kuja hata arusha kuchukua...
Mtoto halali na hela said: Upo wapi, ungekua Arusha ungeipata kwa unafuu tokea kwa watengenezaji wenyewe ila ukiinunua curio bei itakua ipo juu kidogo Click to expand... Nipo dar ila niko tayar kuja hata arusha kuchukua...