Inahitajika Latest release ya tally erp 9 multi user

Inahitajika Latest release ya tally erp 9 multi user

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
166
Habari wapendwa?, poleni na majukumu.

Nina shida na program ya tally erp iwe release ya latest kidogo maana niliyo nayo ni erp 9 release 1.1.

Napatikana Mwanza kwa mwenye nayo anichek tuyajenge
 
Nataka ambayo ipo cracked maana ukidownload kama una keys ni kazi bure kwa uelewa wangu mdogo
 
Ninayo Tally ERP 9 Version 2021
Nicheki inbox kama una Buku 20 ya muda na MB
 
Ninayo Tally ERP 9 Version 2021
Nicheki inbox kama una Buku 20 ya muda na MB
Habari yako ndg, je unayo hiyo Tally Erp ambayo ipo cracked, ambayo ni latest ? km unayo naomba namba ya cm nikutafute, nipo Dar
 
Back
Top Bottom