Inahitajika landdcruiser prado

marijanda

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
50
Reaction score
4
Nahitaji land cruiser prado sx,zx,au lx na iwe kwenye hali nzuri, iwe haijawahi kupata madhara wala haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka isiwe chini ya mwaka 1995 . Budget ni milioni kumi na nne (14,000,000), priority zaidi kama itakuwa arusha au moshi.mawasiliano yatoshs@yahoo.com, tel 0654441434,
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…