Inahitajika IST au SPACIO Namba D

Inahitajika IST au SPACIO Namba D

Ndugu yangu a nahitaji gari mojawapo tajwa hapo juu budget ni 4M kama unaweza kuwa nayo 0711366636 WhatsApp hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Omba waufute huu uzi haraka mkuu,anza upya. Kwa pesa hiyo tafuta A au B. Hapo wataalam wa code # wako kukufanyia ya haraka. Unaweza kupewa hiyo gari yenye D,lakini kumbe ilikuwa zile # za zamani TZA. Hivi tunavyoongea iko kupigwa rangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom