Mambundamu
Member
- Jan 4, 2019
- 66
- 63
Ndugu yangu a nahitaji gari mojawapo tajwa hapo juu budget ni 4M kama unaweza kuwa nayo 0711366636 WhatsApp hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani gari ni kama matako ambayo kila mtu anayo.
Hahah sasa mpwa kwa pesa hio aisee,anazingua.
Unadhani gari ni kama matako ambayo kila mtu anayo.
Huyu ni mtu wa ajabu
Nilijua unaniponda kuwa pesa yangu ndogo maana humu jf hakuna jemaUkihitaji Msaada zaidi Tuwasiliane lengo ni kusaidiana sio kukwamishana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe huna matakoUnadhani gari ni kama matako ambayo kila mtu anayo.
Acha uchuro Mimi ninausafiri wangu usidhan wote madarali wewe pita kushotoHuyu ni mtu wa ajabu
Utakuta hpo ndg yke katoa offer nzri ila yeye anataka apate hela nyingi kwenye deal hyo kutokana na tamaaa zake
Sana sana atamkosesha Gari tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Msipende mteremkoo ndomana watu kama Nyie mnaishia kupewa magari ya moto kwa kupenda virahisi!Nilijua unaniponda kuwa pesa yangu ndogo maana humu jf hakuna jema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hapana, next time acha kuhukumu Mpwa, utajifunza mengi Sana! Mwambie aongeze hio pesa na Niko tayari kukusaidia bila hata senti tano yako! Ili uamini kuwa JF kuna watu pia...Nilijua unaniponda kuwa pesa yangu ndogo maana humu jf hakuna jema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasemaga hivyo hivyo kmbe mnafanya udalaliAcha uchuro Mimi ninausafiri wangu usidhan wote madarali wewe pita kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa aongeze ngapi?Hahaha hapana, next time acha kuhukumu Mpwa, utajifunza mengi Sana! Mwambie aongeze hio pesa na Niko tayari kukusaidia bila hata senti tano yako! Ili uamini kuwa JF kuna watu pia...
Sent using Jamii Forums mobile app