mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
Baada ya kuitumia kwa muda machine ya EFD aina ya eXpert SX ya Bulgaria imeanza kugoma kutoa risiti yenye tarehe ya manunuzi,tumeirekebisha sana kwa dealer wetu lakin imeshindikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app