Inachukua muda gani kujiunga ajira za halmashauri

Inachukua muda gani kujiunga ajira za halmashauri

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,683
Reaction score
27,605
Nilipata ajira ya mkataba pale halmashauri ya ubungo,toka tarehe 9 mwezi wa 4 ndio mchakato ulikamilika ,

Hadi sasa kimya hatujapigiwa simu za kupewa orientation/semina na kuanza kazi

Je Huwa wanachukua muda gani ?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom