wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?
wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?
Kama wote manapenda kuchat, inadumisha mahusiano, lakini kama mmoja wapo hapendi kuchat, inawezekana kukawa na hali ya kuboana!
Kuchokana huja kama kuna mmoja wapo au wote mna tabia mabazo hazifanani na tabia ya mwingine ni kero kwa mwenzake. Mfano, kama mmoja ni mlalamishi sana, au ni mgomvi sana kwa mwenzake au mlevi mno na mwenzie siyo mlevi au mwingine ni mtu wa nyumba ndogo, nk.
Ni vyema kuwa na mtu ambaye sehemu kubwa ya tabia zenu zinafanana ili kuepuka kuchokana.
Uko right kabisa Eiyer, lakini saa nyingine huwa najisikia kuwaonea imani hawa watoto wa siku hizi wanaokimbilia ukubwani nakusema acha tu nichangie chochote huenda nikamsaidia kwa namna moja au nyingine kuliko kukaa kimya kabisa ....
ujinga tu hakuna cha kudumisha wala nin ni sawa na kumwambia mpenz wako siwez ishi bila wewe. wewe ni pumzi yangu harafu mkiachana ata wik aipit kila mtu ashapata mwingine.
Mh! Kupoteza muda tu! Nusu saa inatosha ikzd one hour na inategmea mwaongea ki2 gani tena kama mpo mikoa tofaut,utakuta mtu sa nne had sa nane za ucku umeng'ang'anala tu na cm sikioni khaa! Mnaongea nini ka si kuboana tu? Jibu-haiboreshi mdogo wangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.