Inaboa sana tena sana...

Inaboa sana tena sana...

Mkwele

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
206
Reaction score
24
Inaboa sana kila ukiingia kwenye web hii wana Jf mnajadili udini, NAJUTAA HATA KWA NINI NILIJIUNGA. Badilikeni na muanze kutafakari jinsi ya kuikwamua Tanzania kutoka kwenye umaskini uliotukuka.
 
Kama huzipendi ZIPOTEZEE.................. nina uhakika hazitaachwa post za namna hiyo
 
Mi wala sizioni!Zipotezee tu...sio lazima usome kila kitu!
 
Yaani hata kwenye Jukwaa la wakubwa, Mahusiano, Teknolojia, Lugha wanaongelia Udini??????,

Basi kweli kazi ipo?????.... Sidhani hebu pitia tena hizo forums
 
Inaboa sana kila ukiingia kwenye web hii wana Jf mnajadili udini, NAJUTAA HATA KWA NINI NILIJIUNGA. Badilikeni na muanze kutafakari jinsi ya kuikwamua Tanzania kutoka kwenye umaskini uliotukuka.

Napendekeza ujitoe...
 
Back
Top Bottom