[emoji23][emoji23][emoji23] lohIfikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
AiseeeChizi weh
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
Kama nakuona ulivokuwa makin kujua anachotaka kusema huyo mgosiChizi weh
Yani nilikua makini hatariKama nakuona ulivokuwa makin kujua anachotaka kusema huyo mgosi
Pombe sio chai mkuuIfikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
Nilijua tuYani nilikua makini hatari