Ina maana mchezaji wa ndani ukikosa Yanga au Simba ndio basi tena?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,737
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi. Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo. Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo. Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.

Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao. Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.

Kama Uingereza, Ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
 
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi.
Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo.
Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo.
Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.

Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao.
Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.

Kama wingereza,ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
Ligi zote duniani kuna timu za Top na zilizozoea middle table. Labda itokee miujiza kama ya Leceister pale England. Hispania kuna Barcelona, Madrid, Atletico na Sevilla. Italy kuna Milan wawili, Roma na Sasa Napoli karudi. France utawakuta PSG, Marseille, Lyon. Kenya kuna Gor Mahia, FC Leopards, Sofapaka, Nzoia Sugar na Bandari. Argentina, Uganda, Australia, India, Pakistan vivyo hivyo.

Kila nchi kuna Giants wake na timu za katikati ya Ligi. Mpira pesa ndugu yangu na hao uliowataja ndio wanaomiliki uchumi wa soka la Tanzania. Leo hii Yahaya Mbegu analipwa mil. 1.2 pale Ihefu lakini akienda Simba haitapungua milioni 3 Kwa mwezi. Kichaa gani atakataa kipato mara 3 ya anachopokea Sasa? Cha pili ni Exposure.

Huku ambako wameshaendelea ni rahisi kuonekana. Hata kama hutakwenda nje unaweza kukaza ukapandisha kiwango chako ukawatikisa ukapandishiwa mshahara au akatokea Giant mwenzake akakupa kikubwa kama ilivyotokea Kwa Feisal. Fanya ufanyavyo huwezi kukwepa suala la Ukubwa, Ukati na Udogo.
 
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi.
Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo.
Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo.
Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.

Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao.
Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.

Kama wingereza,ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
kipato ndugu kipato hizo timu zingine mishahara yao ni midogo
 
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi. Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo. Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo. Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.

Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao. Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.

Kama Uingereza, Ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
Hiii nlishafikiria sana sikupata jawabu sahihi, Simba na yanga zimetuchelewesha sana.
 
Na tulilalama sana kuhusu Feitoto lakini watu kama fei wapp Kwa ajili ya kuweka usawa wa vilabu nchini na wachezaji wazawa.
 
Azam JITAHIDINI kufanya MAPINDUZI.

1. Mmenianguaha sana kumbakisha MBOMBO,

2.How come mnamkosa Langa Chivaviro!!!!!

TAFUTENI beki wa kati kitasa.....
 
Back
Top Bottom