Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 6,706
- 12,449
Haaaaaaa pole kwa kuchubuliwa mdomoAnakisi kama ananyonya ubuyu bnaa anatumia nguvu utafikiri yupo kwenye mashindano looo achaa tuuu siku tatu mdomo wangu sikua naweza kula na kuongea vzr...that man was crazy
Hahah unanikumbusha kunasiku usiku mshkaji wangu alinambia nimskoti kwa demu wake, tulivyofika baada ya maongezi yule demu akaanza kumlazimisha jamaa romance ili waagane, sasa jamaa akawa anakataa, sasa ukiona wanavyovutana utacheka ufe,Kuna watu wengine uki-kiss nae utahisi kichefuchefu mara unakupaka mimate yake(kwa wale wanaokua na mate mengi mdomoni) usiombe ukute ananuka mdomo pywuuuu cheeeeefuu
Ujinga ni pale mtu anaamini kila atakayempenda lazima ajue kukiss! Umeona wapi wanazaliwa wakijua hata ku....mba hayo yote utajutana nayo kwa muda mwafaka na kwa mtu.Mbona mnatetea ujinga?
Wengi ni wanafiki tu,
Hapa mnajidai kuiponda kiss kwa kigezo haitii mimba wakati kutwa sex mnafanya kwa ndomu
Naww umepitia mengi snKuna watu wengine uki-kiss nae utahisi kichefuchefu mara unakupaka mimate yake(kwa wale wanaokua na mate mengi mdomoni) usiombe ukute ananuka mdomo pywuuuu cheeeeefuu
Binadamu na mnyama katika suala la utendaji ngono ni yupi mwenye akili?Wanyama pekeyao ndio hufanya tendo la ngono kwaajili ya kuzaana, ndomana wengi hawapandani hadi wawe na joto,
Ila binadamu na Shark wao wanafanya kwa starehe na kuzaana pia
Apana sijawahi asojua ila wakunuka mdomo mpaka ukasema Haya ni mateso gani huyo nilisha muonaUlishawahi ku experience?
Hahah pole sana,Apana sijawahi asojua ila wakunuka mdomo mpaka ukasema Haya ni mateso gani huyo nilisha muona
halafu ni Handsome smart lakini mdomo ndio utatapika...lol
Maskini wee, sisi tupo karne ya 21 yeye tumemuacha karne ya 18,Ujinga ni pale mtu anaamini kila atakayempenda lazima ajue kukiss! Umeona wapi wanazaliwa wakijua hata ku....mba hayo yote utajutana nayo kwa muda mwafaka na kwa mtu.
Cha muhimu ni kupenda halafu hayo sijuie kukiss kunyonya nini na nini inategemea mtu na mtu.
Wajinga watetezi wa kiss mnadhani watu wanatongozana ili wakissiane!!!!
Narudia tena kiss haitii mtu mimba. Na uliona wapi watu wanaitana shemeji kwa sababu kaka alimkisi tu.
Wajinga eleweni mtu anatafuta kut......a na sio kukiss
Unataka kusema kwamba tasa na wagumba hawana haki ya kushiriki tendo kisa hawazai?Binadamu na mnyama katika suala la utendaji ngono ni yupi mwenye akili?
Kuna mnyama anayemfanya mwenzie katika njia ya haja kubwa?
Kuna mnyama SHOGA?
Agizo la Mungu ni kuzaa na kuijaza dunia yake sio kusex ili kukata hamu na kupunguza nyege.
Wewe unajua kukiss?
ndiyo mkuu yangu pesaBila shaka uliyavumilia yote hayo ili baadae muamala usome
na wasi wasi na wewe hhhahahahaahhhahhahhhUkiona anajua k7kiss jua ni extra used. Bora asijue na mshauriane namna ya kufurahia mapenzi.
Na sio kila mtu atavutiwa na kiss kwa wengine kiss haina kionjo cha mapenzi hata ukifanya kwa kiwango cha Phd.
Narudia tena kama kiss inatia mtu mimba hapo sa3a
hahhahhahhhahhahahahh uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii cheko langu mieeeeeeeeeeeeeeeeeKuna watu wengine uki-kiss nae utahisi kichefuchefu mara unakupaka mimate yake(kwa wale wanaokua na mate mengi mdomoni) usiombe ukute ananuka mdomo pywuuuu cheeeeefuu