In loving Memory of my Mama

Ni kawaida uchungu wa kifo ukishapita mengine unaona ni sawa tu. Nakumbuka Mimi alianza Baba nilipata wakati mgumu Sana akafatia mdogo wangu halafu Mama maumivu ni kama nilishayazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.

Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".

Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.

Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
poleee😢
 
Pole sana mama ni mtu muhimu sana maishani , mm nilihisi ni ndoto naamshwa saa saba na kuambiwa mama hali mbaya naenda kumwona naambiwa tayari amekufa sikuamini ata nilichanganyikiwa i lost my best friend on 19/8/16 ila it hurts mno asikuambie mtu msiba unaendelea coz hayo majonzi sio poa !!!
 
Pole sana mkuu

"Enough of No Love"
 
Mwanangu pole sana. Mi wazazi wangu wapo hai najiona nna faraja sana.

Japo kila mtu anaishi kwake ila wakifa sasa hivi naweza kulia zaidi. Kuna vitu nawaza kuwafanyia kabla sijafa/wao hawajafa basi dah naomba uzima wao kila siku.
 
Duh sipati picha maisha yalikuaje baada ya hapo! Dah

You are strong than what you think...
 
Duh sipati picha maisha yalikuaje baada ya hapo! Dah

You are strong than what you think...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…