zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,360
- 9,880
Osie uzabadiisha username sikuteie hahahaKote kote Zumbe, acha bange
Osie uzabadiisha username sikuteie hahahaKote kote Zumbe, acha bange
Pole sana MzeeDaah, huu mwezi alianza Mtoi siku ya J3 nikiwa njiani kutokea Zenji narudi Dar, baba yangu mzazi akanipigia simu kuwa tumeona kwenye taarifa rafiki yako amefariki nikamwambia ni kweli amefariki usiku siku ya Jumapili. wiki moja baadae tarehe 19 mwezi huo huo wa 9 siku ya Jmosi nikiwa tena njiani narejea Dar mishale ya saa 6 mchana baba yangu nae akavuta,. Ulikuwa mwezi wa majonzi makubwa sana kwangu. Halafu mwezi uliofuata wa 10 (October 25) taifa likapata msiba mwingine tena mkubwa na wa kihistoria,
Lugha gani hii??Osie uzabadiisha username sikuteie hahaha
KijerumaniLugha gani hii??
UkuhiKijerumani
Daah namkumbuka sana MM ,ajali ya gari iliondoa maisha yake.Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
![]()
TANZIA - Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali
Duuuh rest in bro, kamanda Mtoi. Sas kwa wajuzi je chama kinaruhusiwa kuweka mgombea mwingine au inakuwajewww.jamiiforums.com
He was a great guyEndelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
![]()
TANZIA - Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali
Duuuh rest in bro, kamanda Mtoi. Sas kwa wajuzi je chama kinaruhusiwa kuweka mgombea mwingine au inakuwajewww.jamiiforums.com
Alikuwa member mwenzetu hapa JF. pumzika Mohamed. Mbele yako, nyuma yetu.
Siku nikipata madaraka nitachunguza kile kifo, ile haikua ajali ya kawaida kamweDaah namkumbuka sana MM ,ajali ya gari iliondoa maisha yake.
A.KU.PE.PE M.M
Pale alipopata ajali Rigia mtema bonde la Ruvu ukitoka Mlandizi ni uzembe wa serikali hamna hujuma yoyote.Maisha ni fumbo, sitakaa niamini kama vile vifo vilikua ni vya kawaida
Hivi mmepigwa marufuku kuandika kwa kiswahili neno "Sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea"?Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un