In Africa

Thanks Max for good ideas.
Thanks.
 
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.

Why?
What should be done to remedy the situation?


Africa is poor because our leaders are very poor-minded people...they come to power with fake pormises that they know they will never fullfill....Na pia will never change kwa sababu poverty been there toka watu tunazaliwa so it becomes as party of life.....We talk about it everyday na siyo kama hatuoni lakini ndiyo hivyo uvivu wetu unachangia pia...hatupendi kufanya kazi tunapenda vitu vya free bila kutolea jasho.....
 
Mbona aproach yako ya kujibu maswali ni poor sana?
Anyway punguza jazba.
Wanaojua wameshajibu.
Wewe subiri usome points za wataalamu.

Unaendelea kuonyesha uvivu wa kufikiri, approach poor kivipi?

Mimi naona wewe ndiye uliyeuliza swali poorly, halafu badala ya kushukuru kwa kufahamishwa ili usirudie siku nyingine unakuja na hamaki kwa kusema approach yangu ni poor na nina jazba, hamaki yako inaona jazba hata pasipo jazba.

Unaendelea kujionyesha usivyo makini, precisely our problem.

Tushalizungumzia hili hapa.

Huna umakini, lakini
Unashangaa umasikini
Ukiambiwa kwa nini
Mchungu kama kwinini
Husikii la muadhini
Wala mchota maji msikitini
Labda tuseme Kifini
Ndipo utapoamini
 

How and why does Africa allow itself to have such poor leaders?
 
Binti Maringo,
I got your point.
its a big challenge.
 
Yaani this is very low than ever. Unahitaji mtu akupe reference za poor leadearship na bado unaandika kwenye net? Inamaana teknolojia kwako inakazi gani maana inaonekana kuna issue ambazo ni zipo na zinaeleweka. Unataka tuanzie Sudan, Kenya, Tanzania nk na mifano yake? I doubt with yr level of intellectual skills.
Kwenye title kaandika IN AFRICA, then unauliza mortality rate kucompare na wapi? nenda kwenye mabara mengine ndiyo reference au benchmark.
Ukienda kwenye hoja yako ya disease inaonyesha unaelewa benchmark ni other continents. Angalia lifespan, ratio ya health services to individual.
Usituaminishe kwamba ww umechoka.
Hayo maswali yako kamuulize mtu anayefanya research tena baada ya kupitia literature yake maana upo shallow au ndiyo ulitaka kuleta ujuaji.
 
Binti Maringo,
I got your point.
its a big challenge.

Yes it is a big challenge maana all african leadres are corrupt siyo viongozi wa kitanzania tuu bali the whole Africa as continent!.....And what can we do i guess it's a challenge to all of us!....You know what they say Talk is cheap!.....sisi waafrica tunajua sana kuongea lakini matendo ni zero
 
You've lost me Binti Maringo. Anywho, I like your contribution. But that avatar....wheeeeeeeew!!!

Oop sorry!...sijui hata nikusaidiaje kwa hilo Mr?ms?....OPP!....I see you finally like my cotribution uh!.....unataka hiyo Avatar?you can have it!...Ila watch out usije uka cause divorce kwa mkeo bure
 
Oop sorry!...sijui hata nikusaidiaje kwa hilo Mr?ms?....OPP!....I see you finally like my cotribution uh!.....unataka hiyo Avatar?you can have it!...Ila watch out usije uka cause divorce kwa mkeo bure

I'm single like a dollar bill Binti Maringo....
 
Asante Kiranga kwa ubishi mzuri.
Ili kufaidi mawazo ya wataalamu, ni vema nikaacha kujibizana na wewe.
Hata hivho umejitahidi sana kujibu.
Labda ni kiwango cha akili yako.
Hongera sana.
 

Wewe sio tu umechelewa kupanda ndege, bali hata ungewahi tiketi ulikuwa huna. Ndege hii imekuacha regardless.

Nimeeleza jinsi gani nisivyopingana naye, ila nimemueleza pia kwamba swali lake limeulizwa kivivu.

Unazidi kuonyesha matatizo yetu Afrika, yaani mtu kaja kauliza swali based on a certain premise halafu unategemea aliyeulizwa ndiye afanye kazi ya kui support hiyo premise? Unapouliza swali unauliza na data ili watu wakuelewe, sehemu nyingine ukiuliza swali lenye accusatory tone kama hili bila data watu wanakwambia "no data no right to speak"

Ukishasema kwa nini Afrika tuna kwa mfano infant mortality rate kubwa swali inherently linabeba msingi kwamba huko kwingine kuna mortality rate ndogo. Kama hakuna IMR ndogo then swali linakosa maana kwa sababu una i single out Africa wakati kitu ni universal, kwa nini una i single out Africa? High and low are relative concepts, high with relation to what, low with relation to what? NAturally these are to be related to other continents. Hili nalo linahitaji summer school?

Mtu anayeuliza maswali penetrating yanayotaka kufikiri anaonekana contrarian tu, watu wanaoendeleza popular mediocrity na undisciplined hapharzardous flapping in meaningless expressions of wallowing in Borg like collectivism wanaonekana wana jipya.

Nenda kasome Guns, Gems and Steel uone watu wanavyochambua mambo, kesho uliza swali hata na anecdotes tu.

Maana ukija kizembe zembe hivyo tutakwambia sababu ya umakini wa Afrika ni wazembe zembe wasiofanya homework zao kabla ya wakati kama wewe ni wengi.
 
Huyu KIRANGA hana akili nzuri.
Msameheni tu.
Kumjibu ni kupoteza muda na resources
 
Ni ana Kiranga haswa!.....kama jina lake lilivyo!....huyu angekuwa karibu yangu ningemtia changa wa macho!...
Na mie ningekutia kidoleeee.....

Kidole cha macho atiii....

Naona mnanichangia, ngoja nijikate for a while.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…