Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 25
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.
Why?
What should be done to remedy the situation?
Ni nini kinaonyesha uvivu kwenye swali langu Kiranga?Because people lack depth, detail oriented approaches and preciseness, like how your question was asked.
Swali lako lilivyoulizwa kivivu linaonyesha wazi tatizo letu ni nini. Watu wavivu, waoga, hawako makini etc etc.
Kweli Omega?Jibu ni rahisi: Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Mie naona hata lilivyojibiwa pia maana alot of theories lack of depth, detail oriented bla blah.......... Maana km mtu haelewi swali then what do you expect?Because people lack depth, detail oriented approaches and preciseness, like how your question was asked.
Swali lako lilivyoulizwa kivivu linaonyesha wazi tatizo letu ni nini. Watu wavivu, waoga, hawako makini etc etc.
Kweli Omega?
Sawa bwana.
huo ni mtazamo pia.
Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.
Why?
What should be done to remedy the situation?
bnhai una akili sana.Mie naona hata lilivyojibiwa pia maana alot of theories lack of depth, detail oriented bla blah.......... Maana km mtu haelewi swali then what do you expect?
Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.
Jibu ni rahisi: Miafrika Ndivyo Tulivyo.
???????!!>>>>>No comment!....
Point.Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.
Ni nini kinaonyesha uvivu kwenye swali langu Kiranga?
Why no comment Binti Maringo? Come on, give it a shot....
You remind of someone i know very well and you have common denominator...that is why i said no comment!
Once i am done with my research i will let you know!...let me keep observing!
I like how you write but that avatar of yours is a distraction! Indeed, you are well endowed by the creator. Can I get an amen?
That is ivo talk you know....
Mbona aproach yako ya kujibu maswali ni poor sana?Huna data, huna details, huna comparison, hujajisumbua hata kutoa anecdotes, una assume tu kwamba kila mtu atakubaliana na wewe.
What is "poor economies"? Kwa standards gani? Umefanyaje comparison ya Africa na Latin America na Asia? Africa kuna poor economies au kuna mismanaged economies? Unaelewa tofauti ya poor economies na mismanaged economies?
What is "a lot of diseases"? Una statistics? Kama mtu hajui chochote kuhusu haya mambo utamuonyeshaje kwamba Afrika hali ni mbaya zaidi ya Latin Amerika na Asia?
Mortality rate very high compared to who?
Civil war "here and there" what do you mean by "here and there"?
How can you demonstrate that africa has poor leadership?
The point is not that I disagree with your assertion, rather you do not put even anecdotal references to support your premises, this points to intellectual lazyness, which is my answer to your question.
The answer to your question lies in your question. If you will look carefully at how your question is framed you will get the answer right there.
Najua wewe si mtoto wa darasa la nne, lakini umeuliza swali vibaya kuliko mtoto wa darasa la nne asiyeweza kupata maksi nzuri.
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.
Why?
What should be done to remedy the situation?