Umenikumbusha ile iliyotokea pale kinondoni container
Jamaa wakachukua magongo marefu
Ilipofika mida ya saa 3 na nusu hivi kila mtu kakolea kinywaji jamaa wakaibuka na nyimbo zao
"siye twasota nyie Mwala" X 30
Aisee kila mtu aliijua njia zake na hakuna hata mmoja alikumbuka kuondoka na gari ni mbio za kufa mtu wakiamini wafu wamewafufukia