In a dilema...

Kapax

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
215
Reaction score
21
habarini za sikuu wana jf..
leo nimekuja na hii ishu apaa nimekua kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa mdaa wa miezi nane ivi nilikua nikimpenda sana mwanzonii but now nataka tuachane..
resons.
1.naona kabadilika now days she is not the same like b4.
2.i dont see a future with her
3.aniskilizii in some things nikimwambiaa..

complications..
1.nimejaribu kumtafutiaa visababu imeshindikanaaa...
2.staki kumuumiza
...ingekua wewe ungefanyajee hapoo kwenye ilo swalaaa?
:thumbup:
 
Thumb down...!
Kama kweli hupendi kumuumiza mwambie ukweli.
 
nikimwambiaa ukwel sindoo ntamuumiza mkuu?
 
mwambie mapema tu,,,,,,usimpotezee mda wake!!!!!!!!!!!🙂
 

what if you are the source of the change, how do I believe in you in this case dude.. stay with her at least another 8 months for more proof dude..
 
Mhhhh! Hata kuachana na mpenzi uliyempenda sana miezi michache iliyopita lakini sasa penzi limechujuka na huoni kama kuna future na huyo mpenzi kunahitaji ushauri kweli!? Mbona mnakuwa wavivu wa kufanya maamuzi!? Tukikwambia endelea naye tu penzi linaweza tena likapamba moto siku za usoni je, utafuata ushauri kama huo!? Dah!!!!

 

Amekata mawasiliano na mimi for sometime, hapigi simu wala hapokei simu. I take it its over between me and him. Unaweza kuitumia njia hii kama alivyoitumia mwenzako.
 
natamanii kumwambiaa ila sitak kumuumiza
mimejaribu kumuonesha kwa vitendo but still haonii
 
another 8 ....im not the sorce becaz yey ndo kabadilikaa
 
ushaur wa kuendelea naee kivip bcaze mi this is it..stak kuendeleaa
 

ushaur gan?
 
Mmmh kaeni muyazungumze...acheni mambo ya kitoto eti namwonyesha action
 
hahahahaha niongee nae sindoo nakwepa hiloo dada.i cant face her and say tuachanee
 
Wewe sitaki nataka...mtu humtaki unashindwa nn kumwambia humtaki..vyovyote utakavyomwambia lazima utamuumiza hilo halizuiliki..so uchague kunyoa au kusuka!
 
hapo ndoo pagum sjuii nianzie wapii?
 
hapo ndoo pagum sjuii nianzie wapii?

Kwani aliaanza kukutongoza mkuu?kama ulivyomtongoza bas mwambie ukwel wake achukue time yake.
Unaweza ukamuonea huruma kumbe yeye ndo anakuonea huruma kukuacha,na once utakapomwambia sikutaki ndo atakuwa kama ametua gunia la misumari.
 
Acha kumpotezea mwenzio muda. ukiamua kumuacha leo, kesho au mwakani maumivu yatakuwa palepale ila yatazidi kama usipomwambia ukweli sasa. By the way pengine we ndo umebadirika. Jichunguze kabla hujachukua uamuzi wa kumuacha
 
nikimwambiaa ukwel sindoo ntamuumiza mkuu?

kifo ni kifo, hata ufe kwenye kiyoyoz status yako ni sawa na aliekufa kwa kutolewa kiungo kimoja baada ya kingine!
Kama hupendi kumuumiza katoe mahari kwao ili umuoe!
 

Mbona sababu zote unazo na umezitaja hapo juu nilipobold ....? Si mwambie tu ukweli kuwa huwezi kuendelea naye kwa sababu ulizozitaja hapo juu? Kwa kufanya hivyo ndiyo utakuwa umemsaidia kuliko kuendelea kumpotezea muda wake kwa kutafuta namna nyingine bora zaidi. Nainachofahamu hakuna kuachana ambako hutokea bila maumivu japo kidogo labda kuwe kulikuwa hakuna mapenzi katikati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…