A Amoury94 Member Joined Mar 14, 2013 Posts 89 Reaction score 37 Oct 5, 2015 #1 Habar zenu wadau naomba kufahamishwaa vp kuhusu hivi chuoo selection bado tu ???? mpaka lini ndio wanatoa Shukran
Habar zenu wadau naomba kufahamishwaa vp kuhusu hivi chuoo selection bado tu ???? mpaka lini ndio wanatoa Shukran
Mad Scientist JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 215 Reaction score 77 Oct 5, 2015 #2 Kichwa cha habari ulivyokiandika sasa!
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,795 Reaction score 8,154 Oct 30, 2017 #3 Vyote vimefungiwa hivyo, vyo vya majanga
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,058 Reaction score 13,852 Oct 30, 2017 #4 Hivyo vyuo mwaka huu havidahilo wanafunzi wa 1st year... Mkuu inakuaje mpaka sasa hivi hujui kama vyuo hivyo havijadahili...ajabu la mwaka
Hivyo vyuo mwaka huu havidahilo wanafunzi wa 1st year... Mkuu inakuaje mpaka sasa hivi hujui kama vyuo hivyo havijadahili...ajabu la mwaka
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Oct 30, 2017 #5 Ukiona manyoya.....
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,947 Reaction score 6,783 Oct 30, 2017 #6 spleen said: Vyote vimefungiwa hivyo, vyo vya majanga Click to expand... Uzi wa 2015 ila mnamshangaa mleta uzi carcinoma said: Hivyo vyuo mwaka huu havidahilo wanafunzi wa 1st year... Mkuu inakuaje mpaka sasa hivi hujui kama vyuo hivyo havijadahili...ajabu la mwaka Click to expand... Kertel said: Ukiona manyoya..... Click to expand...
spleen said: Vyote vimefungiwa hivyo, vyo vya majanga Click to expand... Uzi wa 2015 ila mnamshangaa mleta uzi carcinoma said: Hivyo vyuo mwaka huu havidahilo wanafunzi wa 1st year... Mkuu inakuaje mpaka sasa hivi hujui kama vyuo hivyo havijadahili...ajabu la mwaka Click to expand... Kertel said: Ukiona manyoya..... Click to expand...