Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,831
Ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuwa tupo pamoja mpaka sasa.
Microsoft wamerelease Windows OS Update jana mchana. Update hii imeboresha vitu vingi sana na kuongeza features mpya zilikosekana kwenye Windows 8.1 kwa 32bit update hii ina ukubwa wa takriban 400Mbs. Kwa kuwa mimi ni mtumiajin wa 32bit sina uhakika na ukubwa wa 64bit Features hizo ni hizi:
1: Ku:boot directly mpaka Desktop
Feature hii ni nzuri sana kwa wale wasiopenda kuanzia na start menu.

2: Uwezo wa ku-pin metro apps kwenye taskbar
Sasa unaweza kufungua metro apps zako directly kwenye taskbar bila kwenda Start Menu

3: Taskbar , Power options na Search button kwenye Start Menu
Feature hii ni mojawapo ya features nilizofurahia zaidi kwenye hii update mpya.

4: Speed ya OS imeongezeka / Impromvement in Effeciency
Kwa sasa kwenda sleep mode. Kuiwaka na pia hata kwenyematumizi
5:Unaweza kuminimize Metro apps kama kawaida
Ile feature ya kuswitch metro apps itakuwepo ila na wamerejea kwenye ile traditional minimizing

NAWASILISHA!!!