Tafsiri ulizopewa na wachangiaji wengine ni sahihi isipokuwa tu ni za kikamusi zaidi.
Tfasiri hiyo inaweza kuwa,labda "Kutoa matokeo yaliyotarajiwa" ama yenye manufaa.Kwa sababu hiyo positiveness yaweza kuwa anything.
Na pia one positive thing to one person doesnt neccesarily mean the same thing to another.
Kwa mfano kwa wale waasi wa Libya,NATO wali make a "positive impact" base on their mission.
However machoni pa wengine,hilo halikuwa positive.
Kwahiyo kifupi unaweza kuona kuwa positive results ni matokeo yaliyotarajiwa.So therefore a positive impact can be kutoa matokeo yaliyotarajiwa.