Immigration na Zimamoto kunani?


Yaani kaka naungana nawe kwa Moyo wangu wote, nina Imani sana kuwa tutafika!!!
Nasubiria na hizo za Sergeant wa Zimamoto nazo zitoke tuone, but shauku yangu nifanye Interview Immigration ili hata Kama nikipangiwa depo na taarifa zikaja kuwa nimepata Immigration nachomoka kule faster....
Teh Teh Teh Teh!!!!!
 

jiandaeni, dont underestimate your enemy. hii ni vita ya kimwili na kiroho. ukiwa dhaifu kiroho watu wanakutishia eti idara fulani ina wenyewe unakufa fasta wenzako wabishi tunasonga mbele
 
Wale wa Zimamoto na Uokoaji, Ijumaa hii itapita kweli?
Immigration nanyi mmekuwa kimya sana bana, Kama mbwai mbwai tu.....
 
Duh basi tena hadi week ijayo!!!!
Kwa Nini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…