Hakuna visa ngumu kupata kama ya Canada. Kuna mzee wa kiarabu wa miaka 70 nilikuwa namsaidia kuhusu kujaza fomu. Ana watoto Canada, Marekani na Uingereza.
Yani kuna kujaza form zaidi ata ya 20 .mlolongo mrefu maana kule zinajazwa form na wewe uku unajaza form.
Hatua zake ni ndefu sana.
Kwa nchi za Asia niliona kuna kampuni zinaandikisha watu kwenda Canada lakin wanaotakiwa ni wale vichwa tu mfano mainjinia,madokta etc
Hivyo muwe makin mfano Uganda vijana wanatapeliwa pesa na baadh ya kampuni kudanganywa kutoa pesa za visa na ndege. Ukitoa imekula kwako.
Kuweni makini